#glmnews| DIAMOND: ZARI AMEMHARIBU TIFFAH!

Kila kitu ukizidisha ni sumu! Ndivyo ilivyotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye anadaiwa kumtupia lawama mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuwa amemharibu…

#glmnews | DIAMOND AMLIPUA WEMA

BAADA ya muigizaji nyota Wema Sepetu ‘kumtusi’ mpenziwe wa zamani, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, kwa kudhihaki zawadi ya bei chee ya gari aliyowahi kumnunulia, rais huyo wa lebo ya Wasafi…