Home greatlakesmix GlmNews| Album namba moja kwa sasa Afrika Kusini kutoka kwa @PappyThrill

GlmNews| Album namba moja kwa sasa Afrika Kusini kutoka kwa @PappyThrill

0

Hadi sasa msanii Pappy Thrill yupo namba moja kwenye mtandao mkubwa duniani Itunes kwa Chati za Hipo Hop Afrika kusini yupo namba moja ni Pappy Thrill.

Hiyo ni moja ya nafasi kubwa kuwa Rapper huyo kutiksa anga la muziki nchini Africa kusini pia tunakusukumia link zake kutoka Youtube ikiwa ni moja ya kazi alizofanya na wasanii wakubwa kutoka nchini humo ikiwa kama

            Album

(Tears Sweat Blood) Pappy Thrill

Album

Apple Music Link https://music.apple.com/us/album/drink-or-two-feat-kuti-lego/1476398643?i=1476399091

Spotify – https://open.spotify.com/artist/5RWSc8bFCsMuMpy1yMF09l