Glm News| Wasanii Rwanda kushika nafasi ndani ya Yeyote Music App …

Kwa muda sasa Wasanii wa Rwanda wamekuwa wakipata shida ni wapi watasambaza kazi zao na kuwafikia Mashabiki zao hivyo Mtandao wa Yeyote music utawapa nafasi kubwa kwani wamejipanga kufikisha mbali Muziki na Wasani wa Rwanda hivyo wamefungua App ili kuwafikia hata walipo njee ya East Africa.

Image result for yeyote music app

Image result for yeyote music app

Image result for yeyote music app

Waweza kupata App hiyo kwa kufata hii Link https://play.google.com/store/apps/details?id=com.yeyote.music&hl=en