Glm News| Msanii Mr D anadondosha Video yake Tarehe 29 ni next week tu…

Image result for mr d yolo

Mr D ni moja kati ya Wasanii wanaofanya vizuri kutoka Rwanda na makazi yake kwa sasa America japo bado anafanya Muziki wa Nyumbani East Africa na kutamba na vibao vyake vingi ila kilichofanya vizuri ndani ya Glm Music ni Yolo na Tabasamu Kaua.

Image result for mr d yolo

Juzi katika pitapita za Glm News tukakutana na Mr D na kumuuliza ni lini tutapata video ya wimbo wake alifanya na Producer mkubwa Tanzania Mr T Touch nyimbo inaitwa Tabasamu kaua na akatupa Tarehe 29 ya next week video itakuwa YouTube.

Image result for mr d tabasamu