#Glm News| Diamond Platnumz Jumanne hii ameingia location na Rick Rose…..

Msanii wa muziki nchini ambaye anafanya vizuri kimatiafa, Diamond Platnumz Jumanne hii ameingia location kwaajili ya maandalizi ya kazi mpya akiwa na msanii mkubwa wa Hip Hip kutoka Marekani, Rick Ross.