#Glm News| Kelvin Hart awa muwazi kwa mkewe ampa password ya simu yake…

Image result for Kevin Hart with his wife

Mchekeshaji maarufu nchini Marekani Kelvin Hart ambaye hivi karibuni ilisemekana amekuwa akimsaliti mkewe Eniko Hart hatimaye msanii huyo ameamua kuwa muwazi kwa mkewe kwa kumpatia password za simu zake na kumpa uhuru wa kushika simu zake huku mkewe huyo akisema mumewe alipitiwa na shetani tu.

Written by Godson Mbilinyi