#Glm News| Drake ahudhuria mazishi ya rafiki yake aliyepigwa risasi

Image result for Drake

Msanii Drake wa Marekani mapema jumamosi ya tarehe 23 septemba mwaka huu alihudhuria mazishi ya rafiki yake Anthony Soares maarufu kama Fif aliyepoteza maisha kwa kupiga na risasi huko mjini Toronto Canada katika msiba huo Drake alionekana kujitenga na mnyonge hivi karibuni msanii huyo alisema mtandaoni  anasikitishwa na kifo cha rafiki yake huyo.

Written by Godson Mbilinyi